R Kelly Adaiwa Kumlazimisha Ex wake Kusagana na Wanawake!


Mchumba wa R kelly wa zamani Kitti Jones, ajitokeza mbele na kudai kuwa mwanamuziki huyo alikuwa akimfanyia matendo ya kumfedhehesha 'abuse' na kumlazimisha kusagana na akina dada wenzake
Newzfid imepata taarifa kuwa Jones aliripoti Buzzfeed mwanzoni kabisa mwa mwaka huu kuwa amekuwa mfungwa wa R kelly kwa miaka mingi sana kabla ya kujikomboa mwenyewe. Alikutana na Kelly katika tamasha la 'after-party' mwaka 2011 na baadae wakawa na mahusiano ya kimapenzi
Jones alalamika kuwa alikuwa mtumwa wa mapenzi kwa kelly bila kujali tabia zake za ajabu na hiyo ikamsababisha kuacha kazi yake aliyokuwa akiifanya Dallas na akaamua kuhamia chicago kwa Kelly.Anasema kuwa hakujua kama Kelly alikuwa na mahusiano na wanawake wengine nje yake lakini amekubali kuwa kelly alikuwa akimdokeza kuwa analea wanawake wengine nje.
Jones asema mara baada ya kuhamia kwake Kelly alianza kumfanyia matendo 'abusive' na kumshurutisha. "Anaweza akaanza kunipiga na kunambia mi ni malaya mchafu na nisije muingilia mambo yake"
Baada ya mda kidogo, Jones anasema alihamishwa katika studio ambayo aliishi na wanawake wengine ambao pia alikuwa akitoka nao kimapenzi. Kelly alifanya juu chini wanawake hao wasijuane kiundani zaidi lakini moyoni kila mmoja wao alijua nini kilichokuwa kinaendelea
Mwaka 2013, Kelly alileta mwanamke mwingine na akawa anawalimisha wafanye mapenzi ya mdomo 'oral sex'. Kelly alikuwa akisema kuwa wanawake wake ni kama mifugo yake.Mwanadada jones alikuwa akifanyishwa mapenzi ya hivo kwa wanawake kadhaa na mara akikataa alikuwa anapigwa au kunyimwa chakula
"Nilijisemesha, ntajiua na itakuwa kesi yake.Naweza jiua au muua mwenyewe" alikuwa akijisemesha mwanadada huyo kwa mda sana
Baada ya kugundua makosa yake, aliondoka pale nyumbani kwa Kelly.Jones akajitokeza mbele na kuzungumza juu ya mambo hayo ndipo wanawake wengine wakajitokeza pia na kukubali kuwa nao wametendewa matendo machafu na Kelly


JIUNGE NA NEWZFID SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za burudani kimataifa! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Newzfid!
Jimmy James

Author:

I am 21st century millennial with a passion of changing my hobby to a career

No comments

Powered by Blogger.