Filamu 12 duniani za Kutisha siku zote hizi hapa!


Tushukuru maendeleo ya filamu, special effects na uigizaji kiujumla.Tumeweza kutengeneza filamu za kutisha kiasi kwamba mtu presha inapanda na wengine vinyweleo vinasimama wima. Najua kama tungekuwa marekani basi wengi wenu mngesema "Halloween imekwisha bwana" lakini naomba niwashtue au kuwarudisha siku mnaangalia baadhi ya filamu zifuatazo za kutisha

1. “Blair Witch Project” (1999) – $225 million/ bajeti $60,000


2. “The Ring” (2002) — $249 million/bajeti $48 million

3. “Get Out” (2017) — $252 million/ bajeti $4.5 million4. “The Village” (2004) — $257 million/ bajeti $112 million

5. “The Silence of the Lambs” (1991) — $273 million/ bajeti $19 million


6. “Annabelle: Creation” (2017) — $293 million/ bajeti $15 million

7. “Shutter Island” (2010) — $295 million/ bajeti $65 million
8. “The Conjuring” (2013) — $318 million/ bajeti $20 million

9. “Signs” (2002) — $408 million/ bajeti $72 million


10. “The Exorcist” (1973) — $441 million/ bajeti $12 million

11. “Jaws” (1975) — $471 million/ bajeti $7 million12. “It” (2017) — $654 million/ bajeti $35 million


Tutajie filamu 10 za kutisha za Tanzania, Nsyuka na Shumileta ndani 


JIUNGE NA NEWZFID SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za burudani kimataifa! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Newzfid!
Jimmy James

Author:

I am a 2019 Digital Nomad from Tanzania

No comments

Powered by Blogger.