Watoto 10 matajiri zaidi Duniani 2017!
10. Rico Rodriguez 
Alipatwa na pepo la uigizaji akiwa na miaka 8 tuu. Rico ni mmoja wa watoto matajiri zaidi duniani na ashawahi kuigiza katika 'Modern Family' akiwa na miaka 11

Utajiri wake – bilioni 10, (shilingi ya Tanzania)
9. Jaden Smith
Nani asiyemjua Jaden Smith? Sio mtoto pekee wa mastaa duniani wngi pia wanamzidi kwa pesa bila kujali kipato cha wazazi wake.Kaigiza filamu chache tuu tukianza na 'Pursuit of happiness' na kuja katika filamu kubwa kama 'Karate Kid' na zinginezo

Utajiri wake – bilioni 17


8. Dannielynn Hope Marshall Birkhead
Huku akifata nyayo za mama ake mwanamitindo, anna Nicole Smith..Dannielynn alianza mitindo akiwa na miaka 8 tuu. Ni kazuri kiasi kwamba hakuna kamera ya kukaacha kapite salama

Utajiri wake – bilioni 227.Valentina Paloma Pinault
Mtoto mzuri huyo wa Salma hayek na CEO wa Kering, Valentina aliahidiwa kiasi kikubwa cha pesa toka kwa wazazi.Mpaka sasa ana nyumba kubwa ya kitajiri chini ya jina lake

Utajiri wake – bilioni 26


6. Watoto wa Bill Gates 
Sio tuu watoto wa mtu tajiri zaidi duniani, watoto hao walitakiwa ndo waongoze katika listi lakini wazazi hao wameamua kuchangia pesa zao nyingi kwa wahitaji. Na wamekuwa wakisafiri na wazazi wao kujionea jinsi gani pesa zikitumika lakini mpunga wa chini ambao wanatarajia kujipatia ni motoo

Utajiri wa kila mmoja – bilioni 22


5. Suri Cruise
Mtoto mrembo zaidi wa nyota maarufu duniani,Tom Cruise. Anaeleka kurishi kiwango kikubwa cha pesa toka kwa wazazi wake

Utajiri wake – bilioni 8994. Mapacha wa Jennifer Lopez
Watoto wa nyota wa dunia ni warembo na wamekuwa maarudu kupitia intanet kwa miaka yao yotee.Picha yao ya kwanza ya jarida la People magazine walijipatia bilioni 13

Utajiri wao - bilioni 449


3. Ivy Blue Carter
Sasa ni mmoja wa watoto waliozaliwa kwenye tanuri la pesa duniani, Ndio bila shaka.Beyonce na Jay Z ni miongoni mwa wanamuziki waliofanikiwa zaidi kwa miaka yotee


Utajiri wake – trilioni 2.22. Mtoto wa mfalme wa Morocco 
Moulay hassan ndo mtoto mkubwa zaidi wa mfalme wa Morroco na pia ni mfanyabiashara.Sijui hata niandike nini kingine juu yake. Yupo kwenye hatua ya kuwa mfalme wa Morocco

Utajiri wake – Trilioni 2.2


1. Watoto wa Prince Williams na Dutchess Kate!
Nani asiyewajua? Basi naomba tu niwape utajiri wao

Utajiri wao – zaidi ya trilioni 17
List hii ikiwa imeishia hapo, naomba untajie utajiri wa watoto wa Cristiano ronaldo au kama kuna mtoto yeyote anatakiwa kuwepo kwenye list mtaje hapo chini sehemu ya comment

Stay Up to date, follow Newzfid
Like our page NewzfidMagazineJIUNGE NA NEWZFID SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za burudani kimataifa! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Newzfid!
Jimmy James

Author:

I am 21st century millennial with a passion of changing my hobby to a career

No comments

Powered by Blogger.