2018: Forbes Watangaza List Mpya Ya Matajiri Wa Dunia


Matajiri wa dunia wanaonekana tu kupata mitaji na utajiri zaidi kila mwaka unapopita. Watu 2,208 wameorodheshwa na Forbes kama mabilionea wa kimataifa, ambao kwa pamoja wamekusanya jumla ya dola 9.1 trillion (ongezeko la 18% kutoka mwaka jana.
Mtajiri 20 wakubwa duniani wana jumla ya thamani ya dola bilioni 1.2, ambayo inalinganishwa na uzalishaji kiuchumi wa nchi ya Mexico kila mwaka. 

Jeff Bezos, Tajiri nyuma ya Amazon, amekuwa tajiri zaidi duniani, akiwa na networthy/ utajiri wa thamani ya zaidi ya dola bilioni 112. Kampuni yake iliona ongezeko la asilimia 59 ya hisa kwa miezi kumi na miwili iliyopita, ambayo imesaidia kukuza akaunti yake ya benki. Mwaka 2017 kwa Bezos ni mwaka wa kwanza wa faida kubwa zaidi tangu Forbes alianza kufuatilia nyuma ya utajiri wake mwaka 1987.

Bernard Arnault kutoka Ufaransa alipata mwaka wa pili wa faida zaidi baada ya Bezos, baada ya kupata ujira wake wa dola bilioni 30.5 kwa kipindi cha miezi kumi na miwili iliyopita. Pia amekuwa Muingereza tajiri zaidi kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2012, wakati pia amejipatia nafasi ya nne katika mapato ya jumla.

Orodha ya mwaka huu ina mabilionea kutoka nchi 72, na wengine kutoka Zimbabwe na Hungary wanaoonekana kwenye orodha kwa mara ya kwanza.

Top 10 hii hapa chini, tembelea Forbes kutazama list nzima

#1 Jeff Bezos                $112 B
#2 Bill Gates                 $90 B
#3 Warren Buffett .       $84 B
#4 Bernard Arnault $72 B
#5 Mark Zuckerberg $71 B
#6 Amancio Ortega $70 B
#7 Carlos Slim Helu $67.1B
#8 Charles Koch         $60 B
#8 David Koch            $60 B
#10 Larry Ellison         $58.5 B

JIUNGE NA NEWZFID SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za burudani kimataifa! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Newzfid!
Jimmy James

Author:

I am 21st century millennial with a passion of changing my hobby to a career

No comments

Powered by Blogger.