Jezi Mpya ya Ugenini Katika Msimu Ujao Manchester UnitedKuelekea kumaliza kwa msimu wa 2017-18 na kuanza kombe la duniani ikiwa ni ishara ya kuja kwa msimu wa 2018-19 hapo baada ya kumalizika kombe la dunia, basi club mbali mbali zinategemewa kutambulisha jezi zake mpya.

Kama tulivyoona timu za taifa zikitangaza jezi zitakazo tumika katika kombe la dunia basi pia hata club nyingi kutambulisha jezi zake mpya ufikapo msimu mpya.
Na hii ndio imetajwa kuwa jezi mpya kwa club ya Manchester United itakayo tumika katika mechi za Ugenini msimu ujao.

Inasemekana tayari club ya Manchester United imeingia mkataba na Adidas kuandaa Jezi hii ili kuweza kuingia sokoni msimu huu ukimalizika.


JIUNGE NA NEWZFID SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za burudani kimataifa! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Newzfid!
Mwamlima Peter

Author:

No comments

Powered by Blogger.