Paul Scholes - Hata Messi Atapata Tabusana United/ De Gea Ndio Pekee Anaokoa Timu
Mchezaji wa zamani wa  Paul Scholes amesema club yake ya Manchester United kwa hali ya sasa hata ikimsajili Lionel Messi hawatofanya poa na anatapa tabu wa upande wake.


Kiungo huyo kupitia ESPN amesemakwa perfomance ya sasa ya Man United ni kituko hata kwa wapinzani. Mchezaji huyo w England na United amekuwa mara nyingi akiiponda club yake hiyo ya zamani ambapo kwa sasa ipo nafasi ya 8 katika msimamo wa ligi kuu England.

Paul aliweza kusema haya ikiwa United ipo point 5 nyuma ya top six zingine katika msimamo wa Premier League "Tunatazama Liverpool na City wameweza kufanya mabadiliko katika makocha na wachezaji kila mwaka. Nafikiri watu wa Liverpool na Man City wanatuangalia na kutucheka kama sisi tulivyowafainyia miaka ya nyuma."


Paul Scholes aliendela na kusema "sifikiri kama kuna wachezaji wa kiwango cha chini ama tumekosa wachezaji bora pale mabao wanatakiwa na top team, ukiangaliawachezaji wakati na washambuliajipale mbele na hata viungo wachezeshaji. Ila nafikiri kila mchezaji anayekuja katika club hii ana struggle. Nahisis hata tukimsajili Lionel Messi kwasasa bado ata struggle."

"Nafikiri Mourinho bado ni kocha mzuru lakini kwanini kila wakati upande wake unashindwa. Watu wanasema tuangalie kuhusu mechi 10 za mwanzo lakini hata msimu uliopita ulikuwa hivihivi, Na sababu iliyofanya tumalize wapili msimu uliopita ni msaada wa De Gea."

sanchez


JIUNGE NA NEWZFID SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za burudani kimataifa! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Newzfid!
PETER MWAMLIMA

Author:

Its not will that matters -- Everyone has that. Its will to prepare to win that matters

No comments

Powered by Blogger.