Filamu ya "Breaking Bad" Kuanza 'Shooting' Mwezi Huu


Siku chache tu baada ya The Walking Dead kujipatia mafanikio makubwa waendeshaji wa series hiyo wakaigeuza show kuwa mfululizo mpya wa filamu, ripoti za sasa zinadai kwamba creator wa Breaking Bad, Bad Vince Gilligan anafanya kama The walking daed.

Watu ambao wamefanya Breaking Bad tayari wako tayari kuingia kazini uso kwa uso ili kufanikisha filamu hiyo, 

Kulingana na The Hollywood Reporter, filamu hiyo mpya itakuwa ya masaa mawili, lakini haijulikani ikiwa itakuwa sinema au tu TV special ya sehemu mbili. Hakuna mtu anayejua kama ni prequel, uendelezaji wa hadithi ya Aaron Paul au la.

JIUNGE NA NEWZFID SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za burudani kimataifa! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Newzfid!
Jimmy James

Author:

I am a 2019 Digital Nomad from Tanzania

No comments

Powered by Blogger.