Cardi B Amshutumu Paparazi Wa Australia 'Kuwa ni Mbaguzi'

Dia Dipasupil/Getty Images


Mwishoni mwa wiki hii, Cardi B aliwasili Sydney, Australia kwa ajili ya performace yake kwenye mkesha wa mwaka mpya, lakini ziara yake ilianza kusumbuliwa mara tu baada ya kuwasili uwanja wa ndege.

Mwanzoni, kikundi cha wapiga picha kilionekana kikimfuata rapa huyo na timu yake, mpiga picha mmoja alisikika akisema, "Wewe uko Sydney sasa, wewe, uko Australia." Kuongezea, "Ni sheria zetu, sio zako, rafiki yangu, sheria zetu, si zako. Sasa nini kinachoendelea na blanketi lako hilo, cardi una shida ya kujitambua au nini? wape mashabiki picha, Cardi"

Cardi B alibakia kakumbatia blanketi na kwa mara nyingine mwanamke mmoja akasema, "Si ajabu mume wako akuache" wakati Cardi alipokaidi kusimama kwa ajili ya picha. Punde tu,Video ilishika vichwa vya habari vya mitandao baada ya 'Publicist' wa Cardi B kuonekana anamtishia kumpiga mwanamke huyo.

Bila kuchelewa, Cardi B karuka kwenye mtandao wake wa Instagram na kuongelea swala hilo huku akionyeshwa kukerwa na mapaparazi hao JIUNGE NA NEWZFID SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za burudani kimataifa! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Newzfid!
Jimmy James

Author:

I am a 2019 Digital Nomad from Tanzania

No comments

Powered by Blogger.