China: Daktari aliyeunda Watoto "Genetically Engineered" Atiwa Mbaroni


Mwanasayansi wa Kichina ambaye aliishtua dunia na madai ya kuunda watoto wa kwanza 'genetically engineered' na sasa yupo kizuizini katika mji wa Shenzhen wa China, kulingana na ripoti ya The New York Times.

He JianKui |Getty Images

He Jiankui, mwanasayansi wa utafiti Southern University of Science and Technology na mjasiriamali alihusika na startups mbili za kibayoteki, alishika vichwa vya habari na kuleta utata mkubwa uliozalishwa baada ya kutangaza kuwa alikuwa ametumia teknolojia ya CRISPR kuondoa jeni ambayo ina jukumu katika kuwezesha aina za Virusi vya VVU kuambukiza seli kutoka kwenye mimba ya mapacha iliyokuwa bado imetungwa tumboni.

Jamii ya kimataifa ya wanasayansi mara moja ilimuhukumu He kwa kutumia teknolojia hiyo kwa mimba ya mwanadamu na Serikali ya China imefunga utafiti wa Ye mara mojaSasa inaonekana kwamba serikali pia imemweka Ye na familia yake chini ya ulinzi nyumbani kwake.
JIUNGE NA NEWZFID SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za burudani kimataifa! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Newzfid!
Jimmy James

Author:

I am a 2019 Digital Nomad from Tanzania

No comments

Powered by Blogger.