Drake na J. Cole Waungana Upya, Wawa Marafiki tena


J. Cole na Drizzy walionyesha kuungana upya na kupatana kupitia Instagram Story jana usiku. Historia yao ya mwisho kuwepo pamoja ilikuwa ni mwaka 2013, wakati kati kati ya safri yao ya Boyz 2 Men. Mengi yamebadilika katika miaka 5 iliyopita, hasa kwa Drake; yeye ni hakika kibiashara yuko juu sana katika mziki wa rap. Ingawa J. Cole nao kaweka historia nzuri tu kwa mwaka 2018. Kila mtu ana mstari wake nadhani katika gemu ya Hip Hop.

Katika video, anaonekana Drake kapakiwa na J. Cole kwenye gari huku Drake akisema "Who would have thunk it man?..in a Ghosty, man, no casper!" huku Cole akiitikia.
Kukutana kwa marapa hawa kinawafundisha jambo moja kuu mashabiki, kipaji na uvumilivu vinakwenda sambamba.

JIUNGE NA NEWZFID SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za burudani kimataifa! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Newzfid!
Jimmy James

Author:

I am a 2019 Digital Nomad from Tanzania

No comments

Powered by Blogger.