Nchini China Shule zinatumia 'Uniform Janja' Ili Kupunguza Watoro


Shule za Kichina sasa zinafuatilia mahali halisi pa wanafunzi wao kwa kutumia "smart uniforms" ambazo zimefungwa chip ndani yake ili kuhamasisha viwango bora vya mahudhurio darasani, kulingana na ripoti kutoka The Global Times (kupitia The Telegraph).

Kila sare ina chip mbili katika mabega ambazo hutumika kufuatilia wakati na wapi wanafunzi wanaingia au kuondoka shuleni, na pia ili kuhakikisha kila sare inavaliwa na mwanafunzi stahiki basi katika geti kuna mfumo wa 'facial recognition' ambao unapitia sura ya kila mwanafunzi aingiapo shuleni.Ukijaribu kuondoka wakati wa shule? Kengele itapiga kelele tuu.JIUNGE NA NEWZFID SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za burudani kimataifa! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Newzfid!
Jimmy James

Author:

I am a 2019 Digital Nomad from Tanzania

No comments

Powered by Blogger.