Beyonce & Jay-Z Sasa "Wameshibana kuliko zamani" Baada ya Kufanya 'Tour' Pamoja


The Carters kweli wamemaliza mwaka 2018 kwa kishindo. Wanandoa hao walianza zaiara yao ya On The Run 2 Juni ambayo iliwapeleka Ulaya na Amerika ya Kaskazini na watoto wao watatu. Baada ya hapo, walihunduria tamasha la Global Citizen Festival na kisha Beyonce akatumbuiza kwenye harusi ya binti ya familia moja yenye utajiri mkubwa.

Vyanzo vingi kwa vya habari vinadai, "ilikuwa ni mwaka maalum sana kwa familia nzima," 


"Walifurahia kuleta familia yao yote kwenye ziara. Ilikuwa kama adventure kubwa kwa kila mtu. Walipenda sana kumuonyesha mtoto wao Blue pande z`ote za Ulaya, walifurahia kutoka usiku na kufurahi na familia, "chanzo cha hnhh kiliongeza. JIUNGE NA NEWZFID SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za burudani kimataifa! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Newzfid!
Jimmy James

Author:

I am a 2019 Digital Nomad from Tanzania

No comments

Powered by Blogger.