Chris Brown Atamshukuru Mwanae siku zote za Maisha yake!

Jonathan Leibson/Getty Images

Chris Brown msanii maarufu mzaliwa wa Virgnia katoa maneno matamu sio tu kwa mwanae bali hata kwa watu ambao wanamfahamu Chris vizuri. Dunia nzima inatambua ni kwa kiasi gani Chris anampenda Mwanae Loyalty. Basi hivi karibuni Chris ka'posti' picha ya mwanae huku akiacha caption ya "BE THANKFUL FOR YOUR BLESSINGS"


"Nadhani kwangu binafsi, jambo muhimu pengine ni uvumilivu," Chris awali alishawahi sema wakati akizungumzia nini ubaba umemfundisha. "Kwangu mie, daima huwa nataka mambo yafanyike sasa!' lakini, unajua, kuwa baba na, kumwona binti yangu, unajua, kutoka hatua hizo za taraibu, kutoka kwenye kutambaa hadi kuanza kusema maneno, unajua, kujifunza mambo tofauti kila siku ni kama tu kunifundisha uvumilivu. "
JIUNGE NA NEWZFID SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za burudani kimataifa! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Newzfid!
Jimmy James

Author:

I am a 2019 Digital Nomad from Tanzania

No comments

Powered by Blogger.