"Game Of Thrones" Season Ya Mwisho Itakuwa kama "Movie Sita"


Season ya mwisho ya Game of Thrones imbakiwa na miezi kadhaa tuu kuachiwa rasmi. Ingawa mashabiki wanajua kuwa hitimisho limekaribia lakini anaejua season hiyo ya nane itakuwa vipi. Kuna watu wachache tu ambao wameona episode zote sita za mwisho, na chief wa HBO Richard Plepler ni mmoja wao. Plepler alizungumza na Variety kuhusu maono yake baada ya kuona season ya mwisho.

"Ni hatari. Jamaa wamefanya movie sita aisee, "alisema Plepler." Vile nilivyokuwa wakati wa kuangalia series hii, Nilihisi naangalia movie kabisa yaani' " aliongeza Plepler

Ingawa season ya mwisho ina episode 6 tuu, kuna maneno yanasambaa mitandaoni kuwa kila episode itakuwa na dakika 90. Tazama teaser iliyoachiwa na HBO wiki iliyopitaJIUNGE NA NEWZFID SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za burudani kimataifa! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Newzfid!
Jimmy James

Author:

I am a 2019 Digital Nomad from Tanzania

No comments

Powered by Blogger.