Je, Unajua Rangi za Mwaka wako 2018 kwenye Instagram?


Ikiwa kushiriki picha zako maarufu zaidi za mwaka jana haikutosha, sasa unaweza kutazama nyuma rangi za mwaka wako na programu mpya ya wavuti inayounda mosaic kutoka kwenye rangi za picha zako za Instagram. Programu, Year of colour, inachukua picha zako na kuunda doti za rangi zinazoonyesha wastani wa rangi zote ulizotumia.

Stef Lewandowski, mjenzi wa app hiyo toka London, alijenga programu hiyo ya wavuti katika mda wake wa ziada baada ya kuongozwa (kuwa inspired) na mkewe, Emily Quinton. Quinton anaendesha kampuni inayoitwa Makelight ambayo, kati ya mambo wanayoshughulikia ni, huwasaidia watu kuboresha uwepo wao (presence) kwenye Instagram


Ili kuitumia, nenda kwenye yearofcolour.com na uingie kwenye akaunti yako ya Instagram. (Usiogope kuingiza password, programu hii haichukui password.) 

JIUNGE NA NEWZFID SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za burudani kimataifa! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Newzfid!
Jimmy James

Author:

I am a 2019 Digital Nomad from Tanzania

No comments

Powered by Blogger.