Kusherehekea Tamati ya "Irresponsible Tour" Kevin Hart Kawazawadia Jamaa zake


Kevin Hart alifunga Ziara yake ya Irresponsible Tour wiki iliyopita na alitaka marafiki zake au wafanyakazi wake ambao walikuwa wanaongozana nae awape zawadi ya magari ya kizamani. Kila mmoja kati ya wanakundi wake nane wamezawadiwa magari mapya, na sasa wamejitambulisha wenyewe kama "Plastic Cup Boyz Car Club."

"Basi ziara imeisha, na niliwaambia jamaa wangu nitaenda kufanya kitu maalum kwao. Hawakujua ni nini. Niliwashangaza wanakundi langu na madude ya kizamani, "Kevin alisema kwenye Instagram story yake, kupitia Rolling Out.

Chanzo kilielezea Page Six kwamba Kevin alitumia kama $ 500,000 kwa magari yote.JIUNGE NA NEWZFID SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za burudani kimataifa! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Newzfid!
Jimmy James

Author:

I am a 2019 Digital Nomad from Tanzania

No comments

Powered by Blogger.