Mambo 10 Usiyofahamu Kuhusu Tanzania (VIDEO)


Tanzania, nchi kubwa zaidi katika ukanda wa Afrika Mashariki, inajumuisha visiwa vya Zanzibar, Pemba, na Mafia na nchi hii nzuri ni nyumbani kwa Mlima Kilamanjaro, mlima mrefu Zaidi barani Afrika. Maziwa matatu makubwa zaidi barani africa pia hupatikana Tanzania - Ziwa Victoria kaskazini, Ziwa Tanganyika magharibi na Ziwa Nyasa kusini magharibi. Nchi hii ni ya kipekee sana na ndani yake yanapatikana makabila Zaidi ya 120

Tazama Video 

JIUNGE NA NEWZFID SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za burudani kimataifa! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Newzfid!
Jimmy James

Author:

I am a 2019 Digital Nomad from Tanzania

No comments

Powered by Blogger.