Mtoto wa Nne wa Kim Kardashian na Kanye West Atakuwa 'Wa Kiume'


Kanye na Kim Kardashian wanaongeza mtoto mwingine kwa familia yao.

Vyanzo vingi vinathibitishia Newzfid kuwa mtoto wa nne wa ndoa yupo njiani, kwa njia ya 'surrogate', na ni wa kiume. (Soma chapisho hapo chini kuelewa dhana nzima ya surrogate)

RELATED: Sababu ya Kim Kardashian Kutozaa Mwenyewe Mtoto wake wa mwisho!

Jarida la PEOPLE lilithibitisha juma lililopita kwamba wanandoa hao watakaribisha mwanafamilia mwingine wa sita katika familia yao ambayo kwa sasa inajumuisha watoto wao Chicago, 1, Saint, 3, na North, 5½.

Wakati nyota hao wawili walitumia 'surrogate' kwa Chicago, chanzo kimoja cha karibu na familia kiliwaambia PEOPLE kuwa carrier wa mtoto huyo wa sasa ni tofauti, sio yule aliyebeba mimba ya Chicago.

"Kwa kuwa walikuwa na embryo, Kim na Kanye walijua kuwa wanataka kujaribu kupandikiza mtoto huyo pia," alisema mtu mmoja. "Walitamani sana 'carrier' wa zamani abebe na hii lakini mara hii imeleta utata kidogo. "JIUNGE NA NEWZFID SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za burudani kimataifa! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Newzfid!
Jimmy James

Author:

I am a 2019 Digital Nomad from Tanzania

No comments

Powered by Blogger.