R. Kelly Alifumaniwa Akifanya Mapenzi na Aaliyah Kipindi Akiwa Mtoto


Kwa mashtaka yote yaliyotolewa dhidi ya R. Kelly katika kipindi cha miaka michache iliyopita, inashangaza kujua kwamba hajapata kufungwa bado. Documentary mpya ya Lifetime inayokwenda kwa jina la Surviving R. Kelly imejikita kwenye mahojiano na washitaki (Wanawake waliokuwa wananyanyaswa kingono na kubakwa).

Sasa mapya yaibuka, inasemekana kwamba msaniii huyo alishawahi kufanya mapenzi na Aaliyah kipindi Aaliyah hajafanikiwa katika mziki (R. Kelly alikuwa ni Mentor wa Aaliyah na yeye ndiye aliyemsaidia kung'ara katika mziki) hiyo ni kwa mujibu wa mmoja wa waimbaji wake 'backup singer' wa zamaniBackup singer huyo kwa jina la Cunningham anasema ameshuhudia mengi sana machafu yakifanywa na R. Kelly, hadi siku kumfumania R. Kelly ambae kwa kipindi kile alikuwa na umri wa miaka 27 akifanya mapenzi na Aaliyah ambae alikuwa na miaka 15 tuu, na sio kufanya mapenzi ni ubakaji naweza andika katika makala hii

R. Kelly na Aaliyah kamwe hawakuwahi kuzungumzia juu ya uhusiano wake na R. Kelly lakini iliripotiwa kuwa wawili hao kwa siri walioana na nyaraka za uwongo zilizotolewa zikioneysha Aaliyah alikuwa na umri wa miaka 18. Wakati alikuwa na miaka 15 wakati huo.
JIUNGE NA NEWZFID SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za burudani kimataifa! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Newzfid!
Jimmy James

Author:

I am a 2019 Digital Nomad from Tanzania

No comments

Powered by Blogger.