Simu Janja Ya Kwanza 'Ya Kukunjika' Hii Hapa


Watu wamekuwa wakiongea juu ya 'foldable smartphones' kwa miaka sasa, lakini hatimaye tunaiona. Kampuni ya Kichina Royole ilikuwa inaonyesha FlexPai kwenye CES huko Las Vegas, Techcrunch wameripoti

Ni vigumu kusema kuwa ni simu au tablet kwa kuwa unaweza kuitumia kama simu na Tablet ndogo tu. Simu/Tablet hii ina kioo cha inch 7.8 ikiendeshwa na mfumo wa Google wa Android.

Tayari unaweza kununua developer version ya simu hii kwa raia anaeishi marekani kwa karibu $ 1,300 sawa na milioni 3 ya Tanzania. 

Inavutia sana kuona kwamba Royole imeweza kuwapiku Samsung na wazalishaji wengine kwenye soko na teknolojia hii. Sasa, hebu tutaone kama Royole itauza simu yake,JIUNGE NA NEWZFID SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za burudani kimataifa! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Newzfid!
Jimmy James

Author:

I am a 2019 Digital Nomad from Tanzania

No comments

Powered by Blogger.