Chris Brown AthibitishaTetesi za Kupigwa Chini kwa Nicki Minaj katika IndiGOAT TourBaada ya kusambaa tetesi za Nicki Minaj kupigwa cini katika summer tour ya Chris Brown ambayo inakuja kwa jina la IndiGOAT Tour, ukweli ni kuwa msanii huyo hakuwahi saini mkataba wa kupiga tour hiyo kama ilivyo elezwa hawali hivyo hajaachwa bali ajasaini mkataba wa makubaliano.

Chris Brown siku ya jana amethibitisha kuwa tour hiyo itaendelea kama kawaiada na haitoailishwa na tour hiyo itakuwa na  mastaa kama  Tory Lanez, Ty Dolla $ign na wengine kibao isipo kuwa Nicki na hii imefanya mashabiki kulaumu kutokuwepo jina la Nick MInaj.
JIUNGE NA NEWZFID SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za burudani kimataifa! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Newzfid!
Mwamlima Peter

Author:

No comments

Powered by Blogger.