Maurizio Sarri Ashangaza Wengi Baada ya Kutaja Idadi ya Sigara Anazovuta Kwa Siku Moja
Kocha wa zamani wa club ya Chelsea Maurizio Sarri ambaye amejiunga na mabingwa wa Italy Juventus aeleza idadi ya sigara anazovuta kwa siku moja.

Kocha  huyo maarufu kwa uvutaji wa sigara ambaye ilisikika kuwa club ya Chelsea ilikuwa tayari kumjengea chumba cha kuvutia sigara. Hii ilikuwa  kufuatia sheria inayokataza uvutaji wa sigara katika viwanja kwenye premier league. Lakini Mtaliano huyo badala ya kuvuta sigara alikwa akinyonya mdomoni hata akiwa kwenye mechi.

Sarri sasa yupo likizo  huko Italy Ascoli Piceno ambapo alalamika na sheria inayokataza uvutaji wa sigara katika bichi hiyo. "Navuta sigara zaidi ya 60 kwa siku. na inaweza kuwa ni kidogo au zaidi." Sarri amesema hayo akifanya Interview na La Nuova Riviera."
"Sioni uhutaji mkubwa wa kuvuta katika mchezo, lakini baada ya hapo ni lazima nivute, haponyuma nilipata tatizo sikuweza kuvuta kwa wiki nzima lakini sasa nipo sawa."


JIUNGE NA NEWZFID SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za burudani kimataifa! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Newzfid!
Mwamlima Peter

Author:

No comments

Powered by Blogger.